Chuo CBE kimetoa sheria yao mpya ambayo inapinga uvaaji wa mavazi tamanishi na kinyume na maadili ya Tanzania, mavazi hayo yamejielezea kwenye hiyo picha hapo na kuwataka wanafunzi kuvaa ki heshima, hii imetokea baada ya watu kulalamikia wanafunzi wa vyuo kuwa ndio wanaoongoza kwa mavazi yasiyo na heshima, na imeonekana sehemu nyingi ya vyuo vikuu wachuo wakiwa wamevaa nguo za Transparent zinazoonesha maumbile yao, wanaume kuvaa heleni na kusuka, n.k.



1 comments:
tunawapongeza sana lakini waboreshe pia huduma zao ni mbovu utaratibu haueleweki, chuo hakina hata choo vyoo vimejaa!! wanaona vimini tu
Post a Comment