BONYEZA HAPA KUONA MATOKEO YA FORM FOUR MWAKA 2012
Examination Results
Ili kupata majina hayo punde tu yatakapo ingia waweza join hapo kulia bonyeza JOIN THIS SITE yataingia link itaingia kwenye email yako
ama waweza kuingia kwenye PAGE yetu hapo utawaweza kuyapata pia maana tuta share link hapo pia
INGIA HAPA
https://www.facebook.com/Hiphoptz



39 comments:
presha inapanda inashukaaaaaa
kikinuka nahitaji asprine za jero
wajameni
We acha 2 yaani hapakaliki hata hamu ya kula hamna roho juu juu.
kaka 2nayasubiri
lini yanatoka mbona kimya tu!!!!!!!!!!!!!!
Dah jamani vipi tena yanatoka lini jamani na muda gani maana presha inapanda na kushukaa
isipane wala isishuke maana wakati ndio umeshafika
mna2zingua mbona haya toki cku zote hizo
Mbona matokeo hayajatoka wacheni kutudanganya!
Yametoka
Plz mkuu ntumie link yenye matokeo ya Shauritanga kwenye email address hii tilyabrand-2011@hotmail.com
walio maliza kidato cha nne 2012 kesheni mkiomba usahihishaji uwe mzur!
Naona watu wote macho kwangu
The result will be out Feb.07.2013
Acheni kuogopa NECTA wamesema matokeo ni mzr klko mwk 2011.WISHES ALL THE BEST
mbona presha sana kufaulu na kutokufaulu kila m2 anajijua mwenyewe so matokeo ni kama kithibitsho 2
Jmani tuambieni mtatuuwa kwa prxa
jamani vipi nilini matokeo yetu yanatoka mwezi wenyewe huo
jamani vipi nilini matokeo yetu yanatoka mwezi wenyewe huo
Matokeo yalishatoka, ni swala la kubandika tu.
jamani matokeo yametoka kweli.
Matoke ijumaa jamani tare8
daah yan achen mngejua !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
SI MTOE YA 2013 TUELEWE
yatoke basi
am waiting men@nearipper
Leo myatoe basi, maana tumechoka kusubiri. In fact it is embarassing waiting for results for such long time.
Au mnayachachua kwa kupiga factor maana elimu ya bongo virus wameimeza, yaachieni mazee 2mechoka na pressure za kitaa.
God,s intervension is important in this
tz 9th leo jman vp mbna xaxa hayo matokeo hayatoki jman...pressure debe uku
jaman presha.
Lini yanatoka
Matokeo yatatoka kesho asubuh!!
mhhhhhhhhhhhh its 14th jamani
yanatoka leo mc anye!
Mbona mnatufanya vifarnga vya kuku kila cku kesho au kwakuwa watoto wenu hawsomi bongo ndo mnatutia pressure sisi
its not fair at all
naona baraza la mitihani limeanza kuonesha mapungufu yake, kupata matokeo hadi uwe na mtu jikoni,watoto wa wakubwa walishajua matokeo yao,not fair!!!!!
mbna mna chelewesha mambo
Duuh...! moja aikai mbili ndo uxixeme jaman wa2 watakufa huku mana hata chakula hakna ladha tena!
Hiki ni kioja cha mwaka. Wahusika wajiandae kutupa maelezo kwa nini wanafunzi zaidi ya nusu ya watahiniwa wamefeli. Tusifanye speculations.Utafiti mwa kisayansi unatakiwa ufanywE na NECTA.
Post a Comment